November 4, 2011
Watano wauawa Mwanza
Siku moja baada ya jiji la Mwanza kulindima na kuanikizwa na milio ya mabomu ya kutoa machozi katika juhudi za polisi kutawanya maandamano haramu na vurugu zilizokuwa zikifanya mahakamani na kundi la waislamu, leo tena mida ya saa tatu na nne ilikuwa kimuhemuhe, maenoe ya barabara ya Nyerere karibu na Benki ya Stanbic pale majambazi yalipovamia duka la vifaa vya ujenzi.
Safari hii si mabomu ya machozi, la hasha ni siraha za moto zilizogharimu damu ya ya kutosha imemwagika dukani hapo majambazi matano yameteketea, jambo la kushngaza ni kuwa duka hilo liko karibu kabisa na kituo cha polisi cha pamba, yaani limetenganishwa na barabara na kituo hicho cha mafuta.
Je jamaa walidhani polisi wamelala au hakuna polisi kituoni? au pengine waliamua kujitoa mhanga kama Wapalestina? au siku zao zilikuwa zimefika? sijui, ila haiingii akilini.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
HII NI HOSTEL YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WANAPOISHI WATAALAMU WETU WA AFYA WA KESHO.